Yesu Nakupenda

Upendo Nkone

Yesu nakupenda lyrics

Ooh yesu nakupenda!
Ulinipenda kwanza
Napenda siku zote
nikutumikie

Ooh yesu nakupenda!
Ulinipenda kwanza
Napenda siku zote
nikutumikie

Ulikuja duniani
Ni kwa ajili yangu
Ulipata maumivu
Ni kwa ajili yangu

Misumari mikononi
Ni kwa ajili yangu
Na mkuki ubavuni
ni kwa ajili yangu

Na ulidharauliwa
Ukatemewa mate
Kusudi wanadamu
Tuokolewe

Na ulidharauliwa
Ukatemewa mate
Kusudi wanadamu
Tuokolewe

Ulikuja duniani
Ni kwa ajili yangu
Ulipata maumivu
Ni kwa ajili yangu

Misumari mikononi
Ni kwa ajili yangu
Na mkuki ubavuni
ni kwa ajili yangu

Ndugu uziache dhambi
Uje akuokoe
Utafanyika mwana mmh!
Wake milele

Ndugu uziache dhambi
Uje akuokoe
Utafanyika mwana
Wake milele

Ulikuja duniani
Ni kwa ajili yangu
Ulipata maumivu
Ni kwa ajili yangu

Misumari mikononi
Ni kwa ajili yangu
Na mkuki ubavuni
ni kwa ajili yangu

Njoo njoo ooh

Lyrics Submitted by Godson

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/