Tangazo Limetoka

Choir Amkeni Fukeni Moshi

TANGAZO LIMETOKA KWA MUNGU

Tangazo limetoka kwa mungu baba wa mbinguni,
Ya kwamba maakao yamekwisha kuandaliwa,
Na sasa imebaki bwana yesu kushuka kwake,
Kuja kutuchukua wateule tulio okoka. X2

Baba jiadaee Mama jiadaee,
Kaka jiadaee Dada jiadaee,
Yesu anakuja kuchukua walio okoka,
Dipo wenye dhambi watabakia wanaliaX2

Kuna wanadamu wanavyotenda dhambi Sasa,
Ili waungane jumapili inayokuja,
Wanajindanganya na Mambo ya ndunia hii,
Siku zinapita ooh miaka inapita.x2

Lyrics Submitted by Paul Mungai

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/