Tupate Mtu Wapi

Neema Mwaipopo

Wewe
Wewe eeh
Wewe *2
Wewe ni mtu wa maana katika dunia
Hata Kama wengine wanakudharau
Mungu aliye mbinguni anakutambua
Siku moja atakunyeshea baraka*2
Tupate wapi Tena mtu Kama huyu*2
Ambaye Mungu anakaa ndani yake*2
Ayeeh!

Nalikua mdogo na Sasa ni mkubwa
Sijawai ona mwenye haki ameachwa
Naliokoka nikiwa mdogo
Marafiki na ndugu walinipiga vitaa ooh
Wakasema Neema huwezi fika mahali
Yatakushinda wokovu huwezi
Sasa wanamwona Mungu wangu
Alivyoniketisha pahali pa wakuu
Walionibeza hawabezi Tena
Ninakula matunda ya wokovu wangu
Na wasema hakika unaye Mungu
Nami nasema na bado watasema

Tupate wapi Tena mtu Kama huyu*2
Ambaye Mungu anakaa ndani yake*2
Ayeeh!

Lyrics Submitted by Abramitos

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/