Anita

Matonya

Chorus
Anita, Anita wangu, hey lelelilei iyeeee iyee
Ei sukuma sukuma, ili siku ziende
Urudi nyumbani tuishi pamoja
Verse - Matonya
Nasikia mazoea yanatabu, leondio naamini
Tangu uondoke Anita raha nakosamimi
Ukumbuka tulilishana yamini
Kwamba mimi na wewe
Maisha milele mpaka nafukiwachini
Ni mawazo yanautesa moyo wanguAnita nielewe
Natamani uyajue ili unilindemimi
Sijajua uliwaza nini Anita
kuwa
mbali na mimi
Hata hilo nilijue ili nisaishemimi
Kama ni maradhi, mimi ndio wakonakitari
Unambie mapema ili dawa yakeniijue
Kama ni waradhii iiiiiie
Anita
Repeat Chorus
Verse - Lady Jaydee
Unajua nilikupendaa zaidi
Ila ya dunia we yalikuzidi
Nilitamani kuwa nawe zaidi
Kuliko yoyote unayemdhani
Siku zote uko safarini kuniachamimi upweke
Mimi nilikupena sana we mpenzi
Je kweli wataka kunienzi
Au unataka kunitia mi mashakani
Verse - Matonya
Siku zote nipo kama chizi, niyangu njiani naongea
Hiyo yote sababu yako anita kiliopokea
Chifu na majirani mtani wanakuulizia
Sina la kuwajibu nabaki kamachichi najililia
Waliniambia nikuache wewe
Ili mimi niishi mwenyewe
Masikio nikaziiba, vipi niishibila wewe
Wakasema hutonisamini, walahaikuniingia akilini
Gozi, gita wakapiga jua wewendio wa maishani
Anita wewe umeumbika mama
Kila upitapo nyuma malawama
Sijiwezi mtoto wa kitanga
Kwako taabani nimeshamwagamanyanga
Anita wewe umeumbika mama
Kila upitapo nyuma malawama
Sijiwezi mtoto wa kitanga kwakotaabani.
Repeat Chorus till fade

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/