Aniongozaye,amenipa nguvu,kuwa na Yesu,ni heri....
Chorus.
Ninafurahishwa naye wakati wa Rana,yakiwapo majaribu hunitia nguvu,neno lako lanitosha huniongoze,pekee yangu siwezi,nitaangukaĆ2.
1.Uliponitafuta sikutambua,uliponongoneza,ningejuaje..bila wito wa Yesu,ningepotea,nafurahi ni huru,nakuabudu...
2.Ninapodhamiria kurudi kwako,ninapotaabishwa na machafuko,nakumbuka zilivyo huruma zako,nafurahi ni huru,kuwa na Yesu..
Lyrics provided by https://damnlyrics.com/