Utukuzwe

Grace Mwai

Jambo moja natamani ni kukuabudu baba
Kwa moyo wangu wote na nguvu zangu zote nikuhimidi
Jambo moja natamani ni kukuabudu baba
Kwa moyo wangu wote na nguvu zangu zote nikuhimidi

Ewe baba jina lako litukuzwe
Ewe jehovah jina lako litukuzwe
Ewe baba jina lako litukuzwe
Ewe jehovah jina lako litukuzwe

Yafungue macho yangu nikuone baba
Badilisha mawazo yangu yote nikujue zaidi
Nipe moyo safi Nifae mbele zako ooh
Nisikie nikuitapo msaidizi wangu eeeh

Ewe baba jina lako litukuzwe
Ewe jehovah jina lako litukuzwe
Ewe baba jina lako litukuzwe
Ewe jehovah jina lako litukuzwe

Nifinyange upendavyo mimi mwana wako
Niandae nitakase najitoa kwako
nipe nguvu za safari nifunze njia zako
Nishikilie uwe nani baba hadi mwisho

Ewe baba jina lako litukuzwe
Ewe jehovah jina lako litukuzwe
Ewe baba jina lako litukuzwe
Ewe jehovah jina lako litukuzwe

Ewe baba jina lako litukuzwe
Ewe jehovah jina lako litukuzwe
Ewe baba jina lako litukuzwe
Ewe jehovah jina lako litukuzwe

Ewe baba jina lako litukuzwe
Ewe jehovah jina lako litukuzwe
Ewe baba jina lako litukuzwe
Ewe jehovah jina lako litukuzwe

Lyrics Submitted by Martha

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/