Yesu unihifadhi,
Hapa Msalabani,
Wajiao Kalvari,
Waponywe Damuni.
Msalaba, Msalaba,
Humu Nina Sifa,
Hata Nitapumzika,
Mahali Pa Raha.
Karibu Na Msalaba,
Nimepatikana,
Napendo Na Neema,
Nimezungukiwa.
Karibu Na Msalaba,
Na Mwana Wa Mungu,
Nitatembea Naye,
Aliye Mtukufu,
Karibu Na Msalaba,
Nitakesha Sana,
Hata Nitawasili,
Mbinguni Kukaa.
Lyrics Submitted by Kennedy Njenga
Lyrics provided by https://damnlyrics.com/