Paka Mapepe

East African Melody

pakamapepe huyo
pakamapepe huyo
pakamapepe huyo

paka mapepe usimwandame
mapepe huyo
usimwache akujue mapepe huyo
yeye hamjue mume
mapepe huyo
mwenye fedha kwake ndume
mapepe huyo

paka mapepe usimwandame
mapepe huyo
usimwache akujue mapepe huyo
yeye hamjue mume
mapepe huyo
mwenye fedha kwake ndume
mapepe huyo

akinenda msukume
tena asikusagame
mkomeshe akukome
abaki alalame

mabibi mimi niko
siku zote mume wako
hamtoi mtu kwako

fanya ufanyavyo fanya
umweke umwekavyo
nilikwisha kukukanya
huyo siwakuridhika

huyo atachanganya
huyo atachanganya
kina shangazi na kaka
tena akisha atapenya
tena kisha atapenya
na baba atamtaka

atafanya anakofanya
mwisho atakasirika
atafanya anakofanya
mwisho atakasirika

hafai huyo hafai
kwangu mimi nikurai
hafai huyo hafai
kwangu mimi nikurai

paka huyo paka paka mapepe paka
umpe kuku na bata mwisho hatatosheka
umpe jambo geni huyo paka
atakushukuru huyo paka
atakutoroka huyo paka
akimwona panya huyo paka

Lyrics Submitted by misslee

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/