Verse1 darasa
mrembo njoo tujenge malengo
Nikikutazama naona nyufa kwenye mjengo
unaonekana kama mjii wenye upendo
unafanana na mtu alo choshwa na mwendo
sinikupe namba yangu unipigie (weekend (weekend beby)
moyo unasema mchukuwe mtoto yuko stendi
vile anavyo hema sio kama mtu hapendi
Anauelewa mziki anahofia kuucheza Anasema na lugha chafu,ameshakuwa kifimbo cheza! Sema nini na marlaw nabembeleza kwa sera za Suma Lee nakula chungwa mpaka chenza eeeh,
shida kujiuguza mama you hot na uko ndani unaniunguza
staki kujua,hata nikijua nitapuuza ukitaka kula bata uache kumchunguza Aah!
Kama utanipenda sitojali shida ulizo beba Na kama unataka kucheza katafute refa wa kukubeba
Nakama utanipenda sitojali shida ulizo beba Na kama unataka kucheza katafute refa wa kukubeba
Corpus
Richi Mavoko&Darassa
you know I like you Mi nakupenda and I give you what you want eh
(Ee whatchu want?)
Nipe uchizi nidate Hatanikilala kwenye usingizi nifate
(the way you talk mama)
Mi nakupenda and I give you what you want eh,
baby
(Eeh whatchu want?)
Nipe uchizi nidate Hatanikilala kwenye usingizi nifate
(Verse2 Darassa)
Hauna single wala movie mama kwangu you’re a star
Mi shabiki yako nasimama hata ukikaa Naangaisha paa,brek ziko dar jitazame kwenye kioo ila sio cha salome how beautiful you’are Mapenzi ukichaa,mapenzi uchizi ulichonachi ukikataa mwingine kinamnyima usingizi
mwingine atakesha mwingine atatesa mwingine atataka akutumie kama pesa
yanajuana madini yakikutana Mwanamke ntanyima tuzo na ndo kitu nachofanya
we utasema mi kichaa kumbe mwenzako nafata what I fell inside
Aaah! Kama utanipenda sitojali shida ulizo beba Na kama unataka kucheza katafute refa wa kukubeba Nakama utanipenda sitojali shida ulizo beba na kama unataka kucheza katafute refa wa kukubeba
(chorus Richi Mavoko)
you Know I like you
Mi nakupenda and I give you what you want eh
(Eeh whatchu want?)
nipe uchizi nidate Hatanikilala kwenye usingizi nifate
(the way you talk mama you know I like you Mi nakupenda and I give you what you want eh,baby (Eeh whatchu want?) nipe uchizi nidate Hatanikilala kwenye usingizi nifate
(outro_Richi Mavoko_&Darassa) unataka nini mama usiniumize moyo (waweza kupaa) mi niko loyal (uendeshe motor car) punguza uchoyo (nguo za kuvaa) you’re my everything for me ( na ukiwa out,oh whatchu want?) waweza kupaa baby uendeshe motor car nguo za kuvaa (na ukiwa out,oh whatchu want?)
you’re my everything for me you’re my only one
Lyrics Submitted by Obed Jåïrõ
Lyrics provided by https://damnlyrics.com/