Uhimidiwe

Adawnage

Uhimidiwe Uabudiwe
We ni Bwana Milele
Sifa zako zi Kinywani mwangu
Watawala Milele

Uhimidiwe Uabudiwe
We ni Bwana Milele
Sifa zako zi Kinywani mwangu
Watawala Milele

Ni Jina gani lastahili sifa
(Yesu, ni wewe)
Aliyenena moja na likawa
(Yesu, Yesu ni Yesu)

Maswali yangu, nani mwenye majibu?
Oh oh oh oh oh ni weh ni weh

Nikilemewa nani, nitamkimbilia
(Nitamkimbilia Yesu)
Nikilemewa nani, nitamkimbilia
(Nitamkimbilia Yesu)

Uhimidiwe Uabudiwe
We ni Bwana Milele
Sifa zako zi Kinywani mwangu
Watawala Milele

Uhimidiwe Uabudiwe
We ni Bwana Milele
Sifa zako zi Kinywani mwangu
Watawala Milele

Ni Jina gani lastahili sifa
(Yesu, ni wewe)
Aliyenena moja na likawa
(Yesu, Yesu ni Yesu)

Maswali yangu, nani mwenye majibu?
Oh oh oh oh oh ni weh ni weh

Nikilemewa nani, nitamkimbilia
(Nitamkimbilia Yesu)
Nikilemewa nani, nitamkimbilia
(Nitamkimbilia Yesu)

Uhimidiwe Uabudiwe
We ni Bwana Milele
Sifa zako zi Kinywani mwangu
Watawala Milele

Uhimidiwe Uabudiwe
We ni Bwana Milele
Sifa zako zi Kinywani mwangu
Watawala Milele

Interlude

Nguvu ninazo, Mamlaka ninayo
Ya kuangamiza, yaliyo Kinyume changu

Nguvu ninazo, Mamlaka ninayo
Ya kuangamiza, yaliyo Kinyume changu

Nguvu ninazo, Mamlaka ninayo
Ya kuangamiza, yaliyo Kinyume changu

Nguvu ninazo, Mamlaka ninayo
Ya kuangamiza, yaliyo Kinyume changu

Nguvu ninazo, Mamlaka ninayo
Ya kuangamiza, yaliyo Kinyume changu

Nguvu ninazo, Mamlaka ninayo
Ya kuangamiza, yaliyo Kinyume changu

Nguvu ninazo, Mamlaka ninayo
Ya kuangamiza, yaliyo Kinyume changu

Ya kuangamiza, yaliyo Kinyume changu

Ya kuangamiza, yaliyo Kinyume changu

Ya kuangamiza, yaliyo Kinyume changu

Lyrics Submitted by Jemce Muindi

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/