Atatamani

Linah

Verse:

Mi napenda nisikiapo sauti yako ooh inapoimba masikioni mwangu uuuh
Nahisi kupata raha! Mi nahisi nikiwa nawe nitakuwa juu alioniacha mwanzo simfuati tena, mi naomba unipe kumbatio lako baridi lilikuwepo mwanzo lisipowepo tena. Mi nahisi ukiwa nami nitakuwa juu uuh aloniacha mwanzo simfuati tena aaah

Chorus
Atatamani niwe wake, akiniona nipo nae eeh akithubutu anifuate eeh, ukimuona rusha mawe hehehee mmmh

Verse:

Aliposema mimi wa kazi gani iih, wewe uliwaza utanipata lini iiih, baby tambua hakuja thamani yangu uuh, wewe unayefahamu naomba unipende eeh x2

REPEATING CHORUS

BRIDGE

REPEATING CHORUS

Lyrics Submitted by Rachel Mwandu

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/