Akadumba

Ney Wa Mitego

Mbona ukanichimbia ningali bado mzima
Nife nizikwe nipotee kabisa kimya
Licha ya matendo mazuri upendo na heshima
Kutakacho cha tanuri ukachoma wangu mtima

Lyrics Submitted by Handsome

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/