Maisha Katika Yesu

Mary N. Johnson

Maisha katika Yesu, ni bora na yenye raha,
Njooni mpate kuonja, vile maisha yalivyo.
Maisha katika Yesu, ni bora na yenye raha,
Njooni mpate kuonja, vile maisha yalivyo.

Chorus
Msamaria alionja, akapata kutambua
Vile maisha yalivyo, kuwa na Yesu moyoni.
Alikimbia nyumbani, akawambia wenzake,
Vile maisha yalivyo, kuwa na Yesu moyoni.

Ninapo tembea sana, huwaona watu wengi,
Wanaojawa na raha, kuwa na Yesu moyoni.
Ninapo tembea sana, huwaona watu wengi,
Wanaojawa na raha, kuwa na Yesu moyoni.

Chorus

Bwana Yesu ni Mwokozi, tena ni Bwana wa mabwana,
Upendo wake Mwokozi, kwetu sisi ni wa milele.
Bwana Yesu ni Mwokozi, tena ni Bwana wa mabwana,
Upendo wake mwokozi, kwetu sisi ni wa milele.

Chorus

Lyrics Submitted by Juliah Ngina

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/