Nimepakwa

Kestin Mbogo

Tazama,
Nimepewa nguvu mamlaka
Ya kukanyanga nguvu za giza
Tena nimejazwa na roho mtakatifu
Nimo ndani yake, Yesu ndani yangu
Walio upande wangu
Ndio wengi kuliko maadui
Siwezi shindwa, siwezi zimia.
Walio upande wangu
Ndio wengi kuliko maadui
Siwezi shindwa,siwezi zimia.

chorus
Nimepakwa mafuta mabichi
Pembe yangu umeiinua
Ndio maana Nina uhakika
Nitashinda,Mimi ni mshindi.

Nimepakwa mafuta mabichi
Pembe yangu umeiinua
Ndio maana Nina uhakika
Nitashinda, Mimi ni mshindi

Nimepakwa mafuta mabichi
Pembe yangu umeiinua
Ndio maana Nina uhakika
Nitashinda, Mimi ni mshindi

Tazama,
Nimepewa nguvu mamlaka
Ya kukanyanga nguvu za giza
Tena nimejazwa na roho mtakatifu
Nimo ndani yake Yesu ndani yangu
Walio upande wangu, ndio wengi kuliko maadui
Siwezi shindwa siwezi zimia
Walio upande wangu ndio wengi kuliko maadui
Siwezi shindwa (siwezi)

chorus
Nimepakwa mafuta mabichi
Pembe yangu umeiinua
Ndio maana Nina uhakika
Nitashinda Mimi ni mshindi

Nimepakwa mafuta mabichi
Pembe yangu umeiinua
Ndio maana Nina uhakika
Nitashinda Mimi ni mshindi

Nimepakwa mafuta mabichi
Pembe yangu umeiinua
Ndio maana Nina uhakika
Nitashinda Mimi ni mshindi

Nimepakwa mafuta mabichi
Pembe yangu umeiinua
Ndio maana Nina uhakika
Nitashinda Mimi ni mshindi
Nitashinda Mimi ni mshindi
Nitashinda Mimi ni mshindi
(Nitashinda mimi)
Nitashinda mimi ni mshindi

Umepakwa (You're anointed with fresh oil, do you believe that? That's what He says)

Tazama,
Umepewa nguvu mamlaka
Ya kukanyanga kanyanga kanyanga kanyanga guvu za giza
Tena umejazwa na roho mtakatifu
Yuko ndani yako Yesu ndani yako
Walio upande wako, ndio wengi maadui
Hauwezi shindwa uwezi zimia
Wanao kuzingira ni wengi
Hauwezi shindwa uwezi zimia

Lyrics Submitted by Faith Emma

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/