Misuli Ya Imani Song Lyrics
ninamkumbuka mama mmoja aliyekuwa na watoto saba
alikuwa akimcha Mungu
alimwomba mchana na usiku
ulipita mda sijaonana nae
nikamua niende nimtembelee
nikamkuta mama mjane amechoka
macho yamevimba kwa kulia
Lyrics provided by https://damnlyrics.com/