Jina Zuri

Victory Singers

Jina zuri pekee ni ya Yesu husikika vizuri kwa watu, dunia yote hutaja jina hili, hubariki mataifa yote...x2

Hofu zote huondoshwa na jina hili, huleta farijiko kwa wanyonge, huvunjavunja nguvu zote za shetani, walioteswa huwekwa huru...x2

Jina la Yesu, jina liheri, Jina la Yesu, linaponya
Jina la Yesu, jina liheri, Jina la Yesu, laokoa

Hakuna jina jingine tulilopewa liwezalo kutuokoa, laleta matumaini kwa wanadamu
Jina hili jina pekee...x2

Jina la Yesu, jina liheri, Jina la Yesu, linaponya
Jina la Yesu, jina liheri, Jina la Yesu, laokoa

Nikiwa na shida naita jina hili...jina la Yesu lina nguvu.
Hufariji walio na huzuni..jina la Yesu jina pekee.

Jina la Yesu, jina liheri, Jina la Yesu, linaponya
Jina la Yesu, jina liheri, Jina la Yesu, laokoa

Lyrics Submitted by Dennis

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/