Gere

Kilimanjaro Band

Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Wananionea ya gere
Watausaga mtama na kuubwia wenyewe

Nguo ya kuazima haisitiri mwili
Nguo ya kuazima haisitiri mwili
Yale niliyokuambia sasa yameshakufika
Yale niliyokuambia sasa yameshakufika
Fahari ee ndiye mama wa ujinga
Fahari ee ndiye mama wa ujinga
Wewe mtu wa mia wataka elfu nne
Dau lako la mia wataka elfu nne
Kitenge umeunguza mwenyewe anakitaka
Kitenge umeunguza mwenyewe ninakitaka
Umejisahau kapu la uyoga mjima ee
Huwa halibebi nyama

Wewe mtu wa mia wataka elfu nne
Dau lako la mia wataka elfu nne
Kitenge umeunguza mwenyewe anakitaka
Kitenge umeunguza mwenyewe ninakitaka

Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka
Wapita ukiringa na kujitapa kwa kitenge changu mwenzio
Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka
Kitenge changu cha thamani nimekitoa mbali mwenzio
Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka
Ninavyokithamini na kukihifadhi we wakifuja mwenzio
Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka
Kama unaweza tafuta cha kwako niache changu mwenzio
Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka

Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Wananionea ya gere watausaga mtama waubwie wenyewe
Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Unanionea ya gere utausaga mtama uubwie mwenyewe

Mama mkwe njoo nikuambie yaliyonikuta
Kwa mke mwenzangu
Kamwambie mume wangu
Anipe talaka badala yake ameachwa yeye

Yuko wapi kibiritingoma mwenzangu
Katwanga mpunga
Amepeta pumba
Amepika wali kala mwenyewe

Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Gere mama yangu ee
Gere mama yangu ee
Ya ya yaya yaya yaya yayayaa

Sheba sheba sheba
Sheba sheba sheba sheba
Sheba sheba sheba
Sheba sheba sheba sheba

Iko wapi kibiritingoma mwenzangu
Ametwanga mpunga
Amepeta pumba
Warumba chee (chee)
Warumba henya (henya)
Lete vitu

Gere mama gere mama
Gere mama gere mama wananionea ya gere watausaga mtama waubwie wenyewe
Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Unanionea ya gere
Utausaga mtama uubwie mwenyewe


Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Gere mama yangu eeeee
Gere mama yangu ee
Ya ya yaya yaya yaya yayayaa
Sheba sheba sheba
Sheba sheba sheba sheba
Warumba mpo (tupo)
Sheba sheba sheba
Sheba sheba sheba sheba

Iko wapi kibiritingoma mwenzangu
Katwanga mpunga
Amepeta pumba
Warumba chee (chee)
Warumba henyaa (henyaa)

Lyrics Submitted by Juniour Nsaji

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/