Unanimaliza

Ray C

Abi dadiii

Unanimaliza wewe

Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Penzi lako linimekolea sijiwezi darling
Unayonipa sijazoea sikuwachi honey
Penzi lako linimekolea sijiwezi darling
Unayonipa sijazoea sikuwachi honey

Ninapokuona me nataka
Ongeza manjonjo me na takataa
Sitaki mwingine we unanifaa
Tena kwa mwingine me sinoi

Unavyo touch touch kiunoo
Unaamsha amshaa yaliyomo
Unavyong'ata yako midomo, unanimaliza
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee

Sii yasikilizi maneno ya watu
Nimekupenda mwenyewe
Sii karibishi ya watu
Tumependana wenyewe
Tutaenda wote vitani vitani
Tutapambana siuutani utani
Mambo Ni mengi dunian duniani

Aiyayayayayah

Tutaenda wote vitani vitani
Tutapambana siuutani utani
Mambo Ni mengi dunian duniani

Aiyayayayayah

Sitaki mwingine we unanifaa
Tena kwa mwingine me sinoi
Unanimaliza touch touch kiunoo
Unaamsha amshaa yaliyomo
Unavyong'ata yako midomo unanimaliza
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Unanimaliza wewe wewe unanimaliza wee
Abii dadiii

Lyrics Submitted by janeth joshua

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/