Tulia

Sarah K

TULIA SARA K
Bwana Mungu asema akujuaa vemaa
Kwa ahivyo usihoofu tena.
Ajua uingiapo na hata utokapooo tuulia mbele zaake sasa.
Bwana Mungu asema akujuua vemaa kwaa hivyo usio-hofuuu tena.
Ajua uingiapo na hata utokapooo tuulia mbele zaake sasa.

Tulia x4
Naujuwe yeheye ni Mungu uuuuu
Tulia x4
Naujuwe yeheye ni Mungu
 
Upitapo katika mafurikoo yeyee atakuwa paamoja na weye.
Ukitembelea katikati ya moto tuulia hutaungua kamwe.

Tulia x4
Naujuwe yeheye ni Mungu uuuuu
Tulia x4
Naujuwe yeheye ni Mungu

Using'aang'anie wala kufikiriaa vitu na mambo yaliyopitaa
Tazama anatenda jambo jipya sasa tuliaa uone mkono wake.

(Tulia x4
Naujuwe yeheye ni Mungu uuuuu
Tulia x4
Naujuwe yeheye ni Mungu) ×3
Tulia ×3
Tulia x3

Lyrics Submitted by Nimrod Swai

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/