Lina Heri Jina

Florence N. Mureithi

Heri Jina

Heri jina, Jina Yesu
Lina heri jina, ninapolitaja
Lina heri kuliko, dhahabu na fedha
Jina Yesu liko juu, ya majina yote

Heri jina, Jina Yesu
Lina heri jina, ninapolitaja
Lina heri kuliko, dhahabu na fedha
Jina Yesu liko juu, ya majina yote

Nikiandamwa na maadui
Naliita jina hilo
Ninapopigwa pande zote
Nakimbilia jina hilo
Ni ngome yangu imara
Nimefichwa ni salama
Ni ngome yangu imara
Nimefichwa ni salama

Heri jina, jina la Yesu
Lina heri jina, ninapolitaja
Lina heri kuliko, dhahabu na fedha
Jina Yesu liko juu, ya majina yote

Heri jina, jina Yesu
Lina heri jina, ninapolitaja
Lina heri kuliko, dhahabu na fedha
Jina Yesu liko juu, ya majina yote

Ninachoomba ninapewa
Katika jina hilo
Nimetendewa mambo makuu
Katikati jina hilo
Jina pekee lenye nguvu
Nikiliita ni salama
Jina pekee lenye nguvu
Nikiliita ni salama

Heri jina, jina Yesu
Lina heri jina, ninapolitaja
Lina heri kuliko, dhahabu na fedha
Jina Yesu liko juu, ya majina yote

Heri jina, jina Yesu
Lina heri jina, ninapolitaja
Lina heri kuliko, dhahabu na fedha
Jina Yesu liko juu, ya majina yote

Nina neema ya kusimama
Katika jina hilo
Nimefunikwa kwa haki yake
Katika jina hilo
Msaada wangu wa karibu
Nakimbilia ni salama
Msaada wangu wa karibu
Nakimbilia ni salama

Heri jina, jina Yesu
Lina heri jina, ninapolitaja
Lina heri kuliko, dhahabu na fedha
Jina Yesu liko juu, ya majina yote

Heri jina, jina Yesu
Lina heri jina, ninapolitaja
Lina heri kuliko, dhahabu na fedha
Jina Yesu liko juu, ya majina yote

Jina Yesu
Ngome imara
Jina Yesu
Mapito salama

Heri jina, jina Yesu
Lina heri jina, ninapolitaja
Lina heri kuliko, dhahabu na fedha
Jina Yesu liko juu, ya majina yote

Heri jina, jina Yesu
Lina heri jina, ninapolitaja
Lina heri kuliko, dhahabu na fedha
Jina Yesu liko juu, ya majina yote

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/