Roho Yangu

Dena Mwana

Roho yangu
Dena Mwana


Sijuwe nitete ye je
Kwani maneno ya menipita aah
Nguvu na Ukubwa wa pendo lako
Huwezi kupimwa
Hujuwa niya zangu uuh
Baba hujuwa uga wangu ouuh
Maneno yangu machache kukueleza
Upendo wangu kwako






Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mtoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu

Aaaaaaaah
Aaaaaaah ouh aaaah

Sasa kama mvuwa
Maneno yangu yangu yangetiririka aah
NingeKuwa na minugu mikononi mwangu
Singeweza kusema
Ila ndani ya roho yangu ooouh
Baba hujuwa yote eiiii
Aksante kwa maisha ukweli njia
Baba ubarikiwe

Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mtoto uliye mkombowa aah
Nitachukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu

Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu
humm
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu

Baba baaaaaba
Baaaaaba baaaaaaaaaaaaaaaa
Baaaaaaaaa ah
Baabababababa
kweli siwezi
Kusema chochote eii
Baba wangu
Babaaa
Kwa kweli siwezi
Sema chochote
sikiya Roho Yangu

Lyrics Submitted by Helly Wangui

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/