Kando Ya Mto

Mamajusi Choir Moshi

Chorus
Kando ya mito ya Babeli ndipo tulipoketi,
Tukalia tupoikumbuka Sayuni,
Katikati ya miti tulivitundika vinubi vyetu,
Tukaishi kwa mateso mingi shidaa, (Babeli)X2

1.{ Walitaka tuwaimbie, nyimbo za Sayuni>x2
x2}x2

2. Akatutoa Babeli kwenye mateso na dhiki oo, Lakini badi wenzetu wengine wameng'ang'aniaa,
Babeli x2, matesoni>x2

3. Watu wako oo, waangamia Babeli. >x2

(Oo Sayuni)
[(Sayuni kuna raha tele x2), Njoo uone raha ya Sayuni.
(Wewe uliye)
(Wewe uliyebabeli x2) Njoo uone raha ya Sayuni.
(Dhambi dhambi oo)
(Dhambi unayoiona ndogo oo, itakuangamiza, jihanamu x2) ]x2

Lyrics Submitted by Henry

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/