Jamila

Jose Chameleone

JAMILA LYRICS

Verse 1
Muda Mrefu Jamila hatuonani
Penzi gani imekuleta kwangu nyumbani
Karibu nikupe kiti,Unielezee nini mama
Jamila alipokaa aka'anza kulia
Oh nakushindwa kuongea
Ata mimi mwenyewe nikaumia kumouna akilia

Chorus 2x
Jamila analia, bwana wake amemuwacha
Jamila analia, bwana wake amemutupa

Verse 2
Jamila aliponza kuongea
Aliongea na maumivu mingi
Navile aliku anaongea
Nikamuonea uruma
Ati walianza penzi bora
Siku zingine harudi nyumbani
Kumuuliza kama amepata mwengine
Akamfungia virago

Repeat Chorus 2x

Verse 3
Sijui nitamsaidiaje
Jamila nimwambie afanyeje
Nitamupa Kitanda chakula akule
lakini mambo ya mapenzi mimi naogopa
Zamani mimi nae tulishindana
Nikapata muke akapata bwana
Sasa analia Jamila nifanyaje lyrics from museke.com
Jamila sijui nimwambie afanyeje Eh!

Repeat Chorus 3x

Repeat Verse 1

Lyrics Submitted by Symon Enoth

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/