Bado Nahema

Ghafla

Nimejifunza somo kwamba wewe bwana
Hutambua mwisho kabla ya mwanzo
Wewe ni mchakato wako kumtoa mwana kumtoa mavumbini kumketisha na wakuu
Haukurusu machozi yanitoke yanitokee bure
Hukurusu huzuni idumu ili niumie
Haukurusu mapito (lala) yanikaribishe umenipa mwisho wenye ushuhuda

Chorus
Nashindwa jinsi naamna ya kusema
Nashukuru bado nahema
Sikustahili umenitendea wema
Nashukuru kwa yako mema
Hivi nimekupa kitu gani
baba(lalalalalalalalala)
Na ninaishi leo ni neema yako yako tu(lalalalalala)
Wala si ujanja wala akili zangu (lalalalalala)
Asante baba pokea sifa(lalalalalala)

Shukrani zatiririka ndani ya moyo
Ninapotazama haya uliyonitendea
Ambayo kwa akili za kibinadamu mimi singeweza
This kind of blessings i have never seen before
Ninashukuru hukuniacha bwana ,hukuniacha bwana umenipigania mwanao
Tena nashukuru hukuniacha bwana ,hukuniacha bwana
umenivusha na mengi mwanao

Chorus
Nashindwa jinsi naamna ya kusema
Nashukuru bado nahema
Sikustahili umenitendea wema
Nashukuru kwa yako mema(lalalalalala)
Kweli hakuna kama wewe(lalalalalala)
Matendo yako ya ajabu (lalalalalala)
Eeeeeh Hayaelezeki (lalalalalalala)
asante bwana! ( lalalalalalala)

Lyrics Submitted by Vivian

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/