Sina Makosa

Les Wanyika

hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure babayule si wako
nami si wangu
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewehasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure babakwako hayuko
kwangu hayuko
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewehasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure babawewe una wako nyumbani
nami nina wangu nyumbani
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewenasema sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/