Simba Nguruma

Reuben Kigame

Simba nguruma aa
Simba nguruma aa
Simba nguruma aa
Simba nguruma aaa.........

Simba wa yuda namsikia akinguruma
Kule kusimu Weee
Tembeo lake kule latetemesha
Tembeo lake kule latetemesha aa...

Shetani ooh kule atetemeka
Mapepo ooh kule yanatoroka
Shetani ooh kule atetemeka
Mapepo ooh kule yanatoroka

Amewapiga pigo la milele

Simba nguruma aa
Simba nguruma aa
Simba nguruma aa
Simba nguruma aa......

Simba nguruma aa
Simba nguruma aa
Simba nguruma aa
Simba nguruma aa.......

Simba wa yuda namsikia akinguruma kule kusimu
Tembeo lake kule latetemesha
Tembeo lake kule latetemesha

Shetani ooh kule atetemeka
Mapepo ooh kule yanatoroka
Shetani ooh kule atatameka
Mapepo ooh kule yanatoroka

Amewapiga pigo la milele
Simba nguruma aa
Simba nguruma aa
Simba nguruma aa
Simba nguruma aa.....

Sisi tunakiri simba wa yuda
Yuko hai
Ooh
Yuko hai

Tena kifo hakimuwezi
Amefufuka
Ooh
Amefufuka

Tena atawala ooh
Atawala
Ooh
Atawala

Tena anarudi
Anarudi
Ooh
Anarudi

Huyu simba wa yuda
Yuko hai
Ooh
Yuko hai

Tena kifo hakimuwezi wee
Amefufuka
Ooh
Amefufuka

Na tena anamalaka yote ee
Atawala
Ooh
Atawala

Nafurahi Anarudi
Atarudi
Ooh
Atarudi

Lyrics Submitted by JOSEPH WANYAMA

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/