Unastahili Kuabudiwa

Upendo Nkone

unastahili yesu kuabudiwa
unastahili yesu kuinuliwa
unastahili yesu kusujudiwa
A aaaaaaah
unastahili

mungu wetu tunakusifu.
mungu wetu twakuinua Yale uyatendayo Ni makuu mno
fĂ dhili zako za milele haufananishwi na chochote
milele na utadumu...)
(chorus

Lyrics Submitted by LucyRuguru

Lyrics provided by https://damnlyrics.com/