eeeeh lalalalala uuuu baba mmmmm
mengi nimeshasikia, uliyoyatenda, mengi hata nami pia, naweza shuhudia, katika siku za giza, wewe umenituliza, nimepenya kwenye Giza, umenimulikia njia
bridge
nikusujudie, nikuinamie, niseme nawe, niushike mkono wako ewe oh, nitembee nawe
chorus
natamani nikuone eee, ndo tamaa ya moyo wangu na nafsi yangu*2
nitakuwa nimetayarisha sadaka nikupe, na sauti nimenyorosha na malaika niimbe, sadaka za sifaaa he he, naomba pokeaaaaa,sauti napaza napazaaaaaaa, naomba sikiaaaaa
bridge
chorus
natambua mimi dhaifu, kama Musa navua viatu vyangu, nikaribie utakatifu wakoooo, nimeoshwa na hiyo damu (umekuwa mwema*8)
Lyrics Submitted by Esther Gathoni
Lyrics provided by https://damnlyrics.com/