damnlyrics.com

Afro

Afro, Afro mama oh oh

mtoto wa Sagana eeh mama

salamu zangu nakutumia popote ulipo uzipokeenisalimie ndugu na wazazi wako mama eeh

popote walipo, Afro

mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni

nina wasiwasi, mmh

nikikumbuka tulivyowachana mara ya mwisho

uliniahidi, Afro

tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh

mbona sikuoni, mamaAfro mama, eeh yao

mtoto wa Sagana, eeh eeh

kaa ukumbuke, eeh

penzi hugeuka, eeh

leo kwangu kesho kwako, mama eeh

utanikumbuka, eehAfro,

mtoto wa Sagananisalimie ndugu na wazazi wako mama eeh

popote walipo, Afro

mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni

nina wasiwasi, mmh

nikikumbuka tulivyowachana mara ya mwisho

uliniahidi, Afro

tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh

mbona sikuoni, mamaAfro mama, eeh yao

mtoto wa Sagana, eeh eeh

kaa ukumbuke, eeh

penzi hugeuka, eeh

leo kwangu kesho kwako, mama eeh

utanikumbuka eeh, yaoAfro wa Kirinyaga, Sagana eeh, eeh

usiniweke pembeni mama, aah

ingawa wako wengi wazuri, mami

lakini nimekuchagua wewe, eeh

tabia zako sawa na sura yako,

nimeridhika kuwa na wewe, eeh

Sagana unipeleke mama, ooh

nikawaone wazazi wako mama

na TZ pia tufike mami

ukawaone baba na mama, eeh

mengine mengi sisemi mama, aah

uamuzi nakuwachia wewe, eeh

mwisho nakuombea salama, Afro

mpaka siku tutapoonana, mamioh, Magara

Nicholas Magara

mtoto wa Kisii

Afro

I love you mama

hatima basi

Enjoy the lyrics !!!