damnlyrics.com

Amenena Mwenyewe

Ni ujumbe wa Bwana haleluya, kwa maisha ya daima,

Amenena mwenyewe haleluya, utaishi ukitazama

Tazama ishi sasa, kumtazama Yesu,

alinena mwenyewe, haleluya! utaishi ukitazama

Uzima wa daima haleluya , kwake Yesu utauona,

ukimtazama tu haleluya, wokovu u peke kwa Bwana .

Tazama ishi sasa, kumtazama Yesu,

alinena mwenyewe, haleluya! utaishi ukitazama

Ni ujumbe wa Bwana haleluya, nawe shika rafiki yangu,

ni habari ya raha haleluya, mwenye kuinena ni Mungu. .

Tazama ishi sasa, kumtazama Yesu,

alinena mwenyewe, haleluya! utaishi ukitazama

Enjoy the lyrics !!!