damnlyrics.com

Aniongoza Popote

Aniongoza popote nimwandame

Siku zote

Mapenzi yake ni heri

Yalitimizwa kalvari.

Nitaongozwa na Bwana

Usiku kucha na mchana

Yesu rafiki wa heri

Ninakumbuka kalvari.

Lyrics Submitted by David Julius

Enjoy the lyrics !!!