damnlyrics.com

Arise

Neno la Mungu limekuja kwetu

Nalimekuja kutuamuru

Amini Amini uwe hurur

upokee kilicho chako

uchukue nafasi yako

Inuka angaza

Nuru imekuja

utukufu wa Bwana umezuka

Inuka angaza

Nuru imekuja

utukufu wa Bwana umezuka

Inuka angaza

Nuru imekuja

utukufu wa Bwana umezuka

Inuka angaza

Nuru imekuja

utukufu wa Bwana umezuka

Nyakati za kale zimepita

na muda mpya umewadia

simama sasa uwe imara

upokee kilicho chako

uchukue nafasi yako

Inuka angaza

Nuru imekuja

utukufu wa Bwana umezuka

Inuka angaza

Nuru imekuja

utukufu wa Bwana umezuka

Inuka angaza

Nuru imekuja

utukufu wa Bwana umezuka

Jiweke macho uwe tayari

wakati wako wa kurithi

inuka sasa na uangaze

upokee kilicho chako

uchukue nafasi yako

Inuka angaza

Nuru imekuja

utukufu wa Bwana umezuka

Inuka angaza

Nuru imekuja

utukufu wa Bwana umezuka

Inuka angaza

Nuru imekuja

utukufu wa Bwana umezuka

Arise and shine

your light has come

and the glory of the Lord is risen upon you

Enjoy the lyrics !!!