damnlyrics.com

Asali

Maisha iko sawa

Wamama usilie

Usilie

Maana ukiwa na Yesu

Yote yawezekana

Ni mtamu kuliko asali ee

Asali asali ee

Tamu kuliko asali

Huyu ni Bwana Yesu

Ukiwa naye maisha iko sawa

Maisha bila Yesu

Ni machungu

Ni makali

Ni magumu

Yeye aleta ladha

Na baraka

Ni mtamu

Kuliko asali

Asali asali ee

Tamu kuliko asali

Huyu ni Bwana Yesu

Ukiwa naye maisha iko sawa

Wazee na wamama

Waonje

Kwenye ndoa

Yenye yaleta ladha

Hata watoto

Waonje

Ni mtamu kuliko asali ya nyuki

Asali asali ee

Tamu kuliko asali

Huyu ni Bwana Yesu

Ukiwa naye maisha iko sawa

Yeye ni daktari

Ni mwalimu

Ni mwokozi

Ni mlinzi

Amini leo uone

Tofauti

Ni mtamu kuliko asali

Asali asali ee

Tamu kuliko asali

Huyu ni Bwana Yesu

Ukiwa naye maisha iko sawa

Lyrics Submitted by Kate

Enjoy the lyrics !!!