damnlyrics.com

Asante sana baba

Asante sana baba yangu

Umenipa mafunzo ya ajabu

Kunifunza kweli ni taabu

Nafanya kazi usiaibike X2Sintokusahau maishani baba yangu

Umenielimisha, rekebisha kanipa mawaidha

Baisikeli kanipandisha

Nguo za kifahari kanivalisha

Nayo majuto ni mjukuu

Tega sikio usiseme I wish I knewAsante sana baba yangu

Umenipa mafunzo ya ajabu

Kunifunza kweli ni taabu

Nafanya kazi usiaibike X2Huuuuuuuu baba heiiiiDesturi na mila [umenifundisha]

Kulinda familia [aaaaahhhhhh]

Kuheshimu bibilia [bibilia kabisa]

Kumtunza malkia [maaaaaama]

Mtu mwenye heshima [na kila hekima]

Mfano mwema [aaaaaaahhhh]

Kwa kupanda na kulima [umenishughulikia]

Mfano mwema, [babaaaaaaaa]Asante sana baba yangu

Umenipa mafunzo ya ajabu

Kunifunza kweli ni taabu

Nafanya kazi usiaibike

Baba baba baba baba [yangu]

Asante sana baba yangu [ni wewe]

Umenipa mafunzo ya ajabu [eeeeeehhh]

Kunifunza kweli ni taabu [ni wewe baba]

Nafanya kazi usiaibikeAaaaaaaaaaaaaaaaa X3Uuuuuuuuuuuuuuu X2Asante sana baba yangu

Umenipa mafunzo ya ajabu

Kunifunza kweli ni taabu

Nafanya kazi usiaibike X2

Aaaa asante

Daddy ooooh

Dadddy ooododoooe

Wewe ni baba [Daddy ooooh]

Wewe ni baba [Ooooooh]

Wewe ni baba yangu

Wewe ni baba

Wewe ni baba yangu

Wewe ni baba

Wewe ni baba [Weweeeee weweeeee]

Wewe ni baba yangu

Wewe uweiyeiye

Wewe ni baba

Wewe weweeee

Wewe ni daddy daddy daddy daddy daddy daddy

Wewe ni baba

Enjoy the lyrics !!!