damnlyrics.com

Basi Imba

Mhriii rirarirorarara

Iyyaa roriro oooh

Basi imba

Eeeehheh ooohohhooo ×2

Babu alinipa Siri,kwanini kaishi miaka mia.

Yani mapenzi yananyonya,ukiwa mzembe utaumiaaa...

Nakumbuka zamani hata bibi mi alinambia...

Yani mapenzi ni roho sasa hivi pesa ndo imefulia...

Kama kumpenda nampenda sasa mbona ndo ananitenga mimi...

Oya ulichokosea amegundua unampendaaa

Kumuonesha nampenda nimekosea kumbe vibayaaa...

Yea umefanya vibaya nakulaumu mwanaizaya...

Mapenz magirigiri...mapenzi ni bigijii natema kama bazouka

Lyrics Submitted by El emraan

Enjoy the lyrics !!!