damnlyrics.com

Blue Uniform

sina makosa afande uniwie radhi

nimetoka kuimba

na kitambulisho mi sina nimepoteza wallet na

sijachukua nyingine

na sijakataa kosa nililofanya ah

sijakataa kitambulisho sina

sijakataa chini nimeshaketi

usiniseti afande usiniseti afande(chorus)

hey you in the blue uniform

If I have wronged you I will reform

raia analia

hey you, hey you.natambua kwamba huna kosa, ulilofanya eh

kitambulisho hicho hauna

nikufanyeje

mapato yangu ni madogo, nategemea kidogo

ni kazi yangu ujira wangu

hujakataa kosa ulilofanya

hujakataa chini umeshaketi

hujakataa kitambulisho huna

nitakuseti raia, fuata sheria

(chorus)Aaaah

umezoea kuchelewa siku mingi

nimekulenga

naona watuzoea mmmmh

kuanzia leo mi nakuonya, ujichunge

ama nitakuweka ndani weeeee

hujakataa kosa ulilofanya,

nakuonya heee mwananchi wewe,

nitakuacha leo uende nyumbani,

onyo kwako wee raia wee.

Enjoy the lyrics !!!