damnlyrics.com

Chali Ya Ghetto (feat. Rayvanny)

yeah wahenga walisema kizuri hujisell na kibaya hujitembeza

so i have been doing it well,ndo nieke chakula kwa meza

you thought i was thinking as hell,but me am a teen will never

so ill be do keeping it real,mbaka wanieke kwa jeneza

so bado ndo nachapa,so bado hapo ndo utanipata

so vako ni jasho imefungwa milango

ndo sahii hii collabo matata

nahamisha mother kayole,mi nampeleka runda

siz ameshamada colle,na mi nishabuy kanyumba

ni hizi mangoma natunga, ni vle matym hubidi

nachanganya rap na rhumba,naiweka mbaka na mobidhi

nipige video muone kwa tv,nishike nairobi na pia na jiji

akili ni nywele nina zangu wacha tucompare tuone nani gwiji

buda alidedi akaniacha solo

nikashindwa ni njia gani nitafollow

nikaanza kuslang makoro

nikaanza kuvaa magoro

nikaacha kujam na soro

nikaanza kuhang na collo

nikaanza maslang za yolo

nikaanza kukam na mchoro

Lyrics Submitted by para.graf

Enjoy the lyrics !!!