damnlyrics.com

Chozi La Haki

Bado na Kumbuka mahono

niliyo yahona zamani

naliona bwana ameketi

aki zungukwa na halaiki

naliona watu makundi makundi

waki mwendeya wapewe haki

tena nali sikiya sauti za vilio

waki Mmiminiya machozi miguhuni

nasikiya majina yawatu yakitajwa

majina ya Inchi majina ya Viongozi

kutoka Aridhini Misituna ba Majini

sauti ya damu iki dai kisasi

naliona wingu jeusi la lahana

likipafunika kila penye zuluma

tena naliona malaika wa ole

Wakipiga kelele kuwambiya watu

ole wako wewe utendaye dhuluma

ole wako wewe uoneyaye

ole wako gadhabu inakuja

ole wako ewe nji ya zuluma

ole wako inji iyi isiyo na haki

ole wako watu wanao dhuluma

ole wako inji iyi isiyo na haki

ole wako watu wanao

ole wako inji iyi isiyo na haki

ole wako watu wanao dhuluma

nalimwona kijana Jeuri

aliye muhumiza mwenzake

aka goma kumuomba msamaha

akizaniya yuko salama

naye aka sogeya kwa mungu

tena aka peleka na sadaka

ka mwacha ndugu take analiya

ka mwachiya mahumivu moyoni

jina lake lika tajwa

katika walio nganganiwa

jina lake lika daiwa Hadhabu

jina lake lika daiwa hukumu

yesu aka agidha agizo

niwahamboye watu wake

warekebishe makosa yao yote

kabla awaja lipa senti ya mwisho

hukumu yake ni kali kuliko (.dahi.)

gadhabu yake ya waka mama moto

ukitajwa jina lako uta hadhibiwa

akikishe umelipa senti ya mwisho

achana haraka na huyu shetani

achana haraka na huyu shetani

hata kufukisha pabaya

hata kufikisha pabaya

achana haraka na huyu shetani

achana haraka na huyu shetani

hata kufukisha pabaya

hata kufikisha pabaya

ole wako inchi isiyo nahaki

ole wako watu wao zulumu

ole wako inchi isiyo nahaki

ole wako watu wao zulumu

ole wako inchii isiyo nahaki

ole wako watu wao zulumu

Lyrics Submitted by Elisee Mutula

Enjoy the lyrics !!!