Wakasemezana wakoma wao kwa wao, ni kwanini tukae hapa mpaka tufe, tukisema twende mjini Kuna njaa Kama kufa heri tufie kwa washami.
Walipo chukua hatua wakoma hao mungu nae akaamua kwenda nao vishindo vya miguu yao vikaleta hofu washami wakakimbia mbele zao.
Pengine na wewe mpendwa umesongasonwa umaeikini shida magonjwa nayo njaa chukua hatua ya Imani umwendee yesu uponyaji wako wa kweli ni kwa yesu
Kwanini ufe na magonjwa yako kwanini ufe na karibu lako
Msalabani yote yalikwisha chukua hatua umwendee yesu...............
Lyrics Submitted by Elizaphan Njiiri Njoroge
Enjoy the lyrics !!!