damnlyrics.com

DeJavu

Verse 1

Hichoo kioo haukiitaji... na hizo make up sio lazima...

Unachovaa haijalishi

Machoni mwangu umekamilka

Nakupenda sina mfano

Zaidi ya hizo nguo uvaazo

Vipodozi na manukato

Nyele Na hata pia rangi yako

Nacho hitaji penzi lako na nimeridhika...

Na hao wapinzani Wako hawana hathari yoyote

Oh usikose usingizi

Niamini nikisema nakesha kazini

Fikra zako zisiende mbali Niko jembe mwenzio

PRE-CHORUS

Maana wewe ni yule yule yuuule....nisipokuona naugua

Nakupenda vile vile viiiile..... penzi langu halijapungua

CHORUS

Bado nikikuona Na hisi dejavu

Roho unairusha juu juu

Oh magoti yanaisha nguvu

Oh booboo I love you

verse 2

Na asili yako siwezi kuieleza mi nimeona wengi ila hamfanani

Wewe hauku umbwa ulitengenezwa kwako natua nikafanya makazi

Na kando yako bado naji hisi

Najivuniaa

Na mwengine Mimi sitaki wala sijawai fikiria

Na ndani ya hilo rinda umependeza

Ukipita shingo wana pinda

Ila hii ngoma naijua bora

Sababu ilonifanya natia fora

PRE-CHORUS

Mana wewe yule yule yuuuuule nisiokuona naugua

Nakupenda vile vile viiiiile penzi langu halijapungua

CHORUS

Bridge

Nakupenda sina mfano

Zaidi ya hizo nguo uvaazo

Vipodozi na manukato

Nyele na hata pia rangi yako

Nacho hitaji penzi lako na nimeridhika

Na hapaja haribika jambo

Leo hii kama zamani

Uzee hauja kukithiri

CHORUS

Lyrics Submitted by FORGIVE SIRAI

Enjoy the lyrics !!!