damnlyrics.com

Dodoma 2 (feat. Harry Kimani)

[H_art The Band]

Hello… Hello… Rabbit! Hello… Hello

Mmm..na na na na Mmmmmm..mmm..aaaaaah..aaahhh..

Ulienda..Uliendaaa

Na vile naonelea Hizi picha ntabaki nazo Akilini Betty

Uliendaa..Ulienda Natamani Niweze Amka kutoka ndotoni nigeuze story

[VERSE 1: King Kaka]

Kwanini umerudi? Si ungeenda kabisa Mtaa gani unaenda

Niko willing kulipa visa Hivo ndo nilikuwa najichocha moyoni

Even though nilikuwa nakuota usiku zote ndotoni

Vile umerudi inadhani ni sikukuu

Hatukuzaa na wewe so majuto sio mjukuu

Ngoja,najuaje wee ni wewe Na mimi ni mimi?

Ungenigeuza ratili ndio nijue haunipimi

Mbinguni uskiza wakati sinner Ataanza kuongea

Akaniambia nitoke haraka juu nilikuwa na sakwa na wale Wachagga kuhusu zile chapa

So mimi huyo Mbio bila ata Hoja , Mbio hadi Koja

Fare ni soo moja hii tension yote,nikachapa njugu na soda

Dere si uende Betty alinishow nishuke hiyo mtaa hapo Kimende Kwa Njia najikashifu,

Mbona anipende

Kufika napata ile number ata ni mteja Kwanini tena,tunacheza chenga

Na Huyu Betty Ameenda?nkt

[CHORUS: H_ART the BAND]

Ulienda(Uliendaaa)..Uliendaaa (U-li-ee-ndaa-aa) Na vile naonelea (aaaaaaahhh) Hizi picha ntabaki nazo (Betty) Akilini Ma Uliendaa (uliendaaa) Ulienda(U-lie-endaaaa) Natamani Niweze Amka kutoka ndotoni nigeuze story (Betty) Ulienda mbali We Be(Betty)Be(Betty) Be(Betty) Betty (Betty) Betty(Betty) Uliendaaaaaaaa Eee-Be(Betty) Betty(ulienda mbali wee) Be(Betty) (ulienda mbali we)Be(Betty) Be(Betty) Be(Betty Uliendaaaaaa)

[VERSE 2: King Kaka]

Ubaya batt yangu yangu inasema 2%

Nikiulizwa nafanya nini hapo nimetupa sense

Kivuli yangu siamini kila mtu suspicious

Fear ni dark room mahali negative zinadevelop

Patience yangu ikaisha na Betty akawa Kero

Hapo ndio nikaskia chuma baridi kwa mgongo

Akawhisper Turn around tu mdogo

Ile uoga nilikuwa nayo matumbo inatingikanga

Alikuwa my Betty kwa Ngepa na madigaga

Leta Simu yako na smile ni kaa tuko Sawa

Rabbit,jua ni vile nakupenda sana

Akarudisha gun,Akaiseti kwa mbosho Simu yangu akaichukua akapee a random shosho

Akadai ni love yetu iko Kwa test

Maswali baadaye ati tuingie kwa basi next

After 2NK kakakam Eldoret express

Since wale Wachagga pia wanataka kututenda

Wakafika Kimende wanapata tushaenda -Kitambo

[CHORUS]

Ulienda(Uliendaaa)..Uliendaaa(U-li-ee-ndaa-aa) Na vile naonelea(aaaaaaahhh) Hizi picha ntabaki nazo (Betty) Akilini Ma Uliendaa(uliendaaa) Ulienda(U-lie-endaaaa) Natamani Niweze Amka kutoka ndotoni nigeuze story(Betty) Ulienda mbali We Be(Betty)Be(Betty) Be(Betty) Betty (Betty) Betty(Betty) Uliendaaaaaaaa Eee-Be(Betty) Betty(ulienda mbali wee) Be(Betty) (ulienda mbali we)Be(Betty) Be(Betty) Be(Betty Uliendaaaaaa)

[VERSE 3]

Wacha vile Swali moja inakuanga mbesha Shigana

Nilikuwa nazo mingi ni ulimi imeshikana

Unaeza toa Monkey kwa Mgongo lakini circus bado iko

Ata ningejam aje,Love bado iko

Tukafika Kisumu Around 5.40 uchovu Vic Hotel tukabook Room 340

But alikuwa mtu mwingine tu Anaitwa Betty

Anafanana na Yule nilikuwa nimemdeady

After 10 minutes,Akadai hatuwezi Lala Hapa

Flight to Nai tukashika barabara sio Anasa

I drive to Mombasa

ako na hoodie na sport shoes ndio viatu

Wasiwasi yake na Simu kaa tatu

Can’t believe Ati ni yee alikuwa anadrive-

Drive me crazy tukafika sunrise

Do not disturb

Kwa mlango Mi nikalala

Akaanza Si tuongee na mi nishadoze

Namshow Betty Manze..Unanibore

Nikaskia Bonge la Bare (Betty Betty Gani Enda ukaoshe Choo Stupid)

[CHORUS]

Ulienda(Uliendaaa)..Uliendaaa(U-li-ee-ndaa-aa) Na vile naonelea(aaaaaaahhh) Hizi picha ntabaki nazo (Betty) Akilini Ma Uliendaa(uliendaaa) Ulienda(U-lie-endaaaa) Natamani Niweze Amka kutoka ndotoni nigeuze story(Betty) Ulienda mbali We Be(Betty)Be(Betty) Be(Betty) Betty (Betty) Betty(Betty) Uliendaaaaaaaa Eee-Be(Betty) Betty(ulienda mbali wee) Be(Betty) (ulienda mbali we)Be(Betty) Be(Betty) Be(Betty Uliendaaaaaa)

Lyrics Submitted by Brian Antoni Mogaka

Enjoy the lyrics !!!