damnlyrics.com

Dunia Haina Huruma

Duniaaaa

Dunia ,Haina hurumaye

Dunia Haina hurumaye

Dunia Haina fayidaye

Dunia Haina wutuku

Na mayisha yangu

Dunia Haina huruma mwezetu nasema

Ya subuhi namapema,simu ya mukoloni nayita

Nayita Zama kwama kkini, ni yambaya kume wangu. sauti ya mwana muke ya sigika inayora ruwa moyo wangu,moyo Wangu nakurasira ,watariza minazopata .

"Aloo,nenda mwimbiri patikuwe musoga ya wako"

Namuri zanindani mwezangu,a nalitu bukwa kejeri,"Mimi ni mu kemeziyo ,kama wutezi kotezeya."

Waliyo

Nawata kuta ndugu ya jamaaa,wa iyo kuwa kwenye simu yangu........

Lyrics Submitted by Kalyango Muhammed

Enjoy the lyrics !!!