damnlyrics.com

Dunia

oooh mwanangu, dunia ina mambo

sikia maneno nakuambiaga

mpe roho yako mola wako

heshima kwa wazazi

eeh mwanangu

dunia hii mama lukumba lukumba

dunia ina mambo mwendo wa ngamia, x2

chunga mwenzio atakudanganya

kwa yote ile atapenda yeye

, kipenda roho kila mtu na yake

, yake ni yake na yako ni yako

Lyrics Submitted by Jacob

Enjoy the lyrics !!!