damnlyrics.com

Enyi Vijana

ENYI VIJANA MWASEMA NINI KWA MUNGU

1. Enyi vijana mwasema nini kwa Mungu ee baba - Twasema yesu masia ni taa yetu mwangaza

Bwana yesu awaita Tumeitika na sasa tuko nyumbani mwa Mungu, Huduma gani mwafanya – Twatangaza neno lake watu wote waokoke *2

2. Mnafahamu ulevi unamaliza vijana –Tunafahamu maana tumekataa ulevi *2

3. Mnasikia vijana ushauri wa wazazi – Tunasikiza wazazi tumejaliwa na Mungu *2

4. Furahieni ujana kwa moyo safi vijana –Tunafurahi maana tumeokolewa sisi*2

Lyrics Submitted by NATHAN KHASAMBAI

Enjoy the lyrics !!!