damnlyrics.com

Ewe Mwana

Ooh mwana oh, penzi langu la maisha x2

Sina mwingine wee nakutegemea wewe wangu

kukukosa wewe, nimwadhabuni oh, wakati ni huu uuridhishe moyo wangu x2

Chorus

Ewe mwana, nakuambia, penzi lako lanitesa kila siku

Nisipokuona, machoni mwangu,

kiitandani sibanduki naugua x2

Lyrics Submitted by Fredrick Kopondo

Enjoy the lyrics !!!