damnlyrics.com

Fataki

Acha mtoto aende zake shuleni

Fataki nakuona wewe

Fataki,ooh,Fataki

Muache mtoto aende zake shuleni

Fataki nakuona wewe

Fataki,ooh,Fataki

Maneno maneno na ofa zako wewe

Fataki zinawabaki wewe

Fataki,ooh,Fataki

1. Jana kaja na chipsi kuku

Leo tena simu na mabuku

Jana kaja na chipsi kuku

Leo tena simu na mabuku

Umevitoa wapi hivi vitu tuvijue

Na kama ni fataki twambie tutambue

Umevitoa wapi hivi vitu tuvijue

Na kama ni fataki twambie tutambue

Ofa za fataki wee mtoto zitakuharibu

Utapata tatizo na wazazi utawapa aibu

Ofa za fataki wee mtoto zitakuharibu

Utapata maradhi na mwishowe tushindwe kuyatibu

Fataki ooh,fataki

Fataki acha tabia mbaya ya kutuharibia

Fataki,ooh,fataki

Fataki,wanafunzi na nyinyi muache tamaa pia

Lyrics Submitted by gladys

Enjoy the lyrics !!!