damnlyrics.com

Hapana Jina Jingine

Hapana jina jingine lilo pewa watu chini ya mbingu ili waokoke *2.

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, akimtoa mwanawe pekee ili tuokoke. Yesu ndiye njia pekee Yeye ndiye kweli na uzima. Mtu haji kwake Baba ila kwake Yesu pekee hapana.

---

Lyrics submitted by Molly Achieng.

Enjoy the lyrics !!!