Umeniahidi wewe Bwana;
huniachi
hadi mwisho wa dahali ulisema;
huniachi
wewe ni Mungu uliyemwaminifu siku zote
mimi naiweka imani yangu kwako bwana
Nipitiapo maji mengi au moto;
huniachi
Unayejua jina langu ewe bwana;
huniachi
Unatengeneza njia hata mito kule jangwani
Wewe ndiwe Alpha na Omega;
huniachi
Uliwalinda Waisraeli kule jangwaani
Ukamtoa Danieli kutoka tundu la simba
Wewe hunainua na wanyonge siku zote
Watuepusha na hatari kila siku
Usifiwe
Baba hata mama wanaweza kunikataa
Marafiki nao wanaweza nigeuka
Mara kwa mara maadui wanizunguka
Nitaishi kwa ahadi yako Bwana
huniachi, huniaachi
Lyrics Submitted by EDNA SARAH
Enjoy the lyrics !!!