damnlyrics.com

Inua Moyo Wangu

Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe,

Inua.

Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe,

Baba Inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe,

Mara nyingi shida yasumbua moyoni, Mwanadamu huogopa na kunung'unika,

Juu ya nini Mungu ameniacha lakini Bwana Yesu ni mwaminifu sana, lakini Bwana Yesu ni mwaminifu sana.

Inua

Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe,

Bwana Yesu Inua.

Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe,

Baba Inua

Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe,

Jipe moyo Mwanadamu Bwana Yesu anakuona, anajua unapolala na unapoamkaaaa

Akiwa upande wako nani atakuwa juu yako... usiwe na wasiwasi linda imani yako, usiwe na wasiwasi linda imani yako.

Inua.

Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe,

Bwana Yesu Inua.

Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe,

Yesu Inua. Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe,

Kwa mganga wa kienyeji hakuna jibu lolote,

Katika shida zangu na matatizo yangu,

Neno la Mungu lasema barikiwa mtu yule

Anayemtumaini Mungu Baba Mwenyezi,

Anayemtumaini Mungu Baba Mwenyezi...

Inua.

Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe,

Bwana Yesu Inua.

Inua moyo wangu, ili mimi nizungumze nawe,

Bwana Yesu Inua.

Lyrics Submitted by Dannie K.

Enjoy the lyrics !!!