damnlyrics.com

Inuka

Inuka msifu bwana

Inuka msifu bwana

Kwa maana fadhili zake.

za dumu ata milele ×2

Alituumba tumtukuze

Tumbambe sifa mwema

Hakuna mungu kama yeye

Inuka msifu Bwana.

Tunapo msifu anainuka

Anatenda mambo ya ajabu

Sifa zetu kama manukato

Inuka umsifu Bwana.

Akufunikaye na bawa yake

Akuondolea misiba yako

Afanyaye nderemo za shangwe

Zisikike nyumbani mwako.

Lyrics Submitted by Duncan Mugah

Enjoy the lyrics !!!